Go Back
Swahili Collection
Swahili Collection icon

Swahili Collection

Free
Napenda kuwakaribisha kila mtu kupakua Applicatio hii ambayo itakufanya wewe mpenzi wa simulizi kufurahia mada mbalimbali ambazo zinajenga Zinafikirisha na kuburudisha kwa namna moja au nyingine.Application hii ni maalumu kwa simulizi mbalimbali za Kijasusi na Fikirishi. Hapa utapata kuwajua majasusi mbalibali duniani na jinsi gani wanavyofanya kazi hii nyeti kwa usiri mkubwa sana. Makala hizi ni usaidizi wa vyanzo mbalimbali Mf JF na credits zimetolewa kwa kila muhusika. Utakapo pakua app hii hakikisha unashare na watu wengine waweze kupata Madini haya adimu na ambayo hayapatikani sehemu ingine popote kwa lugha yetu hii ya kiswahili. Wengi wetu tumekua tukiona makala hizi kwa lugha ya kigeni ila nimehakikisha kukuletea mada hizi kwa lugha ya kiswahili na kueleweka kwa urahisi bila shida. Comments katika makala hizi ndizo zitanipa motisha zaidi ya kuwaletea madini mengi yaliyoshiba na kutukuka. Kama mwandishi sifungamani na upande wowote uke wala sio mtu wa TISS mimi nimpita
Downloads: 535+ (for Android)
Report app for spam or abuse!
  1. Entertainment
  2. > Magazine
for Android
Swahili Collection screenshot 1/6Swahili Collection screenshot 2/6Swahili Collection screenshot 3/6Swahili Collection screenshot 4/6Swahili Collection screenshot 5/6Swahili Collection screenshot 6/6

Recommended apps