Mkondo wa matangazo * rasmi * ya VOA kwa simu yanatoa matangazao ya habari za radio katika lugha zaidi ya 40 kwenye vifaa vya Android.
Yapatikanayo katika Mkondo wa VOA kwa Simu:
* Sikiliza mamia ya vipindi vya redio kwa wakati wako katika lugha zaidi ya 40 tofauti
* Sikiliza mkondo wa matangazo ya moja kwa moja katika darzeni ya lugha
* Chagua kusikiliza sauti kupitia huduma yako ya simu ya mkononi bila gharama zaidi
* Okoa muda wa kupakua na gharama kwa kutumia viwango vya chini upana wa mawasiliano
*Mpelekee mwenzako kipindi ulichopenda kwa kutumia barua pepe, Twitter, Facebook, Google+ na huduma nyingine
Una maswali yoyote, mapendekezo au matatizo na programu?
Tafadhali tujulishe: voamobileapps@gmail.com